Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Nahisi naweza kukaa maisha yote bila mpenzi wa kuwa nae kwa sababu.

1.Napenda kuwa huru, niweze kujumuika na yeyote bila kuumumiza mtu mwingine,maana Kuna wapenzi ukiwa nawo atakuganda mpaka basi,muda wa kufanya mambo Yako binafsi anauchukuwa yeye.

Kurudi home muda nnaotaka,ukiwa na mpenzi muda wa kurudi lazima akupangie.
Kama unapenda sana uhuru si vema kujihusisha na mahusiano..
 
f1c49095df5a9ef1d0a3ad84c354b15c.jpg

Kuna mdada hapa analogwa mamaninaaa.... 😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom