Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
Duh,,,basi atakuwa kaangukia kwenye kundi Hilo...sadnimewahi sikia kuna watu ni 'asexual'..... hawavutiwi kingono na mtu yeyote
Ni kweli we hujui kuwa watu wa hivyo wana tatizoMmmh
Mmmh Sio kweli bhana!
Wapo wanaweza hata matano....japo ni wakuoteaKama atakuwa ana clear manne Kati ya hayo Tisa naaam zinaweza rudi
Dogo anazinguaπ€£Waseme mseme huyo π
Hujitendei Haki aiseeeHahahaha no space kwakweli
AiseeKweli hivo
Babe wangu yuko mbali
eti sadπ ila wanawekwa kwenye lile kundi la LGBTQ....Duh,,,basi atakuwa kaangukia kwenye kundi Hilo...sad
π€£π€£Mie Nasoma koments tuuπ
Muache awe kibonge πHujitendei Haki aiseee
Anatupa tabu tuanze ku convert 72hrs to days ππDogo anazinguaπ€£
Shule alitupeleka??
Yes maana hilo neno Linaendelea ni LGBTQIA so hiyo A hapo ndio Asexual, nimegundua tatizo watu wengi hatuna elimu na uelewa wa haya mambo ya sexual orientation, wengi wetu tunaongea tu kwa mihemkoeti sad[emoji23] ila wanawekwa kwenye lile kundi la LGBTQ....
Ndio nashangaa maana hadi leo hii nna deni la makande la shule ya msingi πShule alitupeleka??
dini ndio tatizo linalowafumba macho watu....Yes maana hilo neno Linaendelea ni LGBTQIA so hiyo A hapo ndio Asexual, nimegundua tatizo watu wengi hatuna elimu na uelewa wa haya mambo ya sexual orientation, wengi wetu tunaongea tu kwa mihemko
unatuchukuliaje wewe?? wewe si ulisema unajua style zote