Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
-
- #301
Mi nimesema ukweli mkuu..Kila mtu kafunguka kwa namna yake, wa kusema kweli au kudanganya ni Abigail, akidanganya anajidanganya tu coz hatuwezi kufanya proof yoyote.
Mimi siwezi hata mwezi.
Ndio,tangu mwaka uanze maanake niko miezi sita hiviUna uhakika[emoji38][emoji38]
Hata mie kama nakujua hivi..[emoji38][emoji38]Ndio,tangu mwaka uanze maanake niko miezi sita hivi
Mtoa mada ni kama nakujua hv[emoji16][emoji16]
Sidanganyi😃😃😃Hata mie kama nakujua hivi..[emoji38][emoji38]
Mawazi yangu yananiambia unadanganya
Mwezi 1Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi?
Chaputa😁Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
Noumaa sana jirani!
Unajiamini unaweza kuzifuta?Sidanganyi[emoji2][emoji2][emoji2]
Au inabidi tubadili hii situation tufute hizo miaka 7
Sasa kwani mali haichakatiki auUnajiamini unaweza kuzifuta?
Sasa hapo si upo in relationshp na mpenzi sabuni[emoji38]Mwezi 1
Chaputa[emoji16]
Niache M...natafutiwa mume mwema toka kwa bwana na baba mchungaji [emoji4][emoji4][emoji4]Sasa kwani mali haichakatiki au
Si ni swala la uchakataji au kuna namna nyingine?
Ah sasa twende PM pengine nnakidhi vigezo😎Niache M...natafutiwa mume mwema toka kwa bwana na baba mchungaji [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Ah sasa twende PM pengine nnakidhi vigezo[emoji41]
Unamaanisha ngono au upendo? Kama ni mapenzi kwa maana ya upendo huwez maliza hata dakika moja. Lakini kama ni ngono inategemeana na umalaya wako.Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzu
Unafanya nini kistahimili mda mrefu?
Sasa kumbe?!Sasa hapo si upo in relationshp na mpenzi sabuni[emoji38]
Aje ajionee ulivyo mvumilivu na ulivyoyulia na kujitunza [emoji28]
Wewe huyo au kuna mtu unamsemea [emoji23]
Kuna Jambo ulimfanyia ndivyo sivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hilo analijua sema anapenda kukaza fuvu tu!
😂 Naandamana dar to kigoma kwa mguu[emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe Cute Wife
Kuna Jambo ulimfanyia ndivyo sivyo
[emoji23] Naandamana dar to kigoma kwa mguu