Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Kuna mahali niliwahi kusoma kwamba , maeneo ya Asia , haswa Mongolia, Tibet, Korea, Japan na pia hata china Kuna watu wengi ambao Wana high life span na factor mojawapo ni hii ya abstinence.. Sasa sijui Ina ukweli au la[emoji848]
 
Back
Top Bottom