Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

Ngurukia

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
4,407
Reaction score
16,942
 
Hiki ni kipimo cha mwisho kabisa cha ufukara.

Ukiona mpaka unapelekwa pelekwa hivyo ukweni ujue wewe ni maskini kupita hata huo umaskini. Inamaanisha wewe ni yule mkwe ambae hata katika shughuli unapewa jukumu la kwenda kuchanja kuni maana ndio msaada pekee unaoweza kutoa.

Mila nyingi hutumika kulingana na hadhi/kipato chako. Sidhani ingekuwa ni mkwe mwenye uwezo wake angefanyiwa upumbavu huo.
 
Hii nchi inavijana wa hovyo sana, huu upumbavu sinto weza kujaribu hadi nakufa.
Alafu kwanza mbona wanaongea kama walevi flani vile....🤨
Nahisi imekutana jamii ya walevi hapo. Sidhani watu wenye akili zao timamu wanaweza fanya upuuzi huo.
 
labda k-vant zilimzidi akaanza kumshika mama mke manyonyo inaonekana tukio limetokea hapo kwa hapo
 
Labda waniue kwanza iende maiti yangu kuadhibiwa hapo.

Kinyume na hapo patachimbika pumbavu.

Tutafute hela jamani tusije chapwa viboko ukweni.
 
Tafuta pesa ndo maana yule mwingine kaambiwa ana sura mbaya na wamekataa asioe binti yao.
 
Mila na Desturi nishazikataa, hazina msaada
 
Back
Top Bottom