Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

Ila inawezekana. Baada ya kupiga mavitu akamuona mama mkwe pisikali akaanza kubambia😂😂😂😂😂
akaona ana bonge la msambwata yaan hilo tukio limetokea hapo hapo wala litakuwa haliusian na kuwa na hela!
 
Hapo ingelikuwa ni mwanamke kafanyiwa hivyo, feminist wangejaa kulalamikia na kutaka jambo hili lichukuliwe hatua.
Hata kwa mwanaume kukubali kufanyiwa hivyo lazima kuna mambo makuu mawili yalihusika ambayo ni ufukara ama ulevi
 
Huyo mpumbavu alikua anapiga makofi mama yake..na kumnyanyasa mke wake huku akilewa kama mbwa...watani hapo mlitisha kumtia adabu...
 
Back
Top Bottom