Unaweza kumiliki ghorofa hili kwa milioni 30 tu!

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
20181018_105616.jpg

20181018_105721.jpg
Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo rahisi kulitambua kwakuwa linaonekana kama limejengwa kwa tofari. Asiye rasmi ameniambia kuwa container la futi 40 linagharimu kati ya mil 4.5 hadi mil 5 hivyo kwa makontainer manne yaliyotumika hapo ni wastani wa mil 20 Hiyo milioni 10 inaweza kutumija kwaajili ya partion, alminium, paa nk na ukikata vizuri hutakosa vyuma vinne chini na juu vinne pia pamoja na sitting room. Sina uhakika sana inaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo kulingana na ukubwa wa vyumba utakavyohitaji au mahitaji yako
 
ah ah sasa bro kwani unajenga hilo upo kwenye mradi nn ambao haukai mda?
 
Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo rahisi kulitambua kwakuwa linaonekana kama limejengwa kwa tofari. Asiye rasmi ameniambia kuwa container la futi 40 linagharimu kati ya mil 4.5 hadi mil 5 hivyo kwa makontainer manne yaliyotumika hapo ni wastani wa mil 20 Hiyo milioni 10 inaweza kutumija kwaajili ya partion, alminium, paa nk na ukikata vizuri hutakosa vyuma vinne chini na juu vinne pia pamoja na sitting room. Sina uhakika sana inaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo kulingana na ukubwa wa vyumba utakavyohitaji au mahitaji yako
Aliyekwambia kuwa container ft 40 linauzwa bei hiyo kakuongopea.
Kuejnga nyumba ya ghorofa ni cheap lakini siyo kwa kiasi ulichosema maana kuna materials nyingi zinahitajika ikiwemo insulation inayobandikwa kuzuia joto lisikuue humo ndani kwa kulitazama tu hiyo milioni 10 haitoshi kwa ajiliya ya hizo chuma hizo aluminium, hizo insulating materials, ufundi, wireling na kutengeneza foundation na sakafu yatakapokaa.
 
Ndiyo maana nikasema siyo rasmi ni makisio
 
Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo rahisi kulitambua kwakuwa linaonekana kama limejengwa kwa tofari. Asiye rasmi ameniambia kuwa container la futi 40 linagharimu kati ya mil 4.5 hadi mil 5 hivyo kwa makontainer manne yaliyotumika hapo ni wastani wa mil 20 Hiyo milioni 10 inaweza kutumija kwaajili ya partion, alminium, paa nk na ukikata vizuri hutakosa vyuma vinne chini na juu vinne pia pamoja na sitting room. Sina uhakika sana inaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo kulingana na ukubwa wa vyumba utakavyohitaji au mahitaji yako
Unanivunja mbavu zangu brother hivi ukiwa na Hilo container na wewe utasema una ghorofa?
 
31.jpg
32.jpg
33.jpg
34.jpg

hao hawajui ona wenzetu wanatengeneza nyumba za maana kutoka kwenye hayo macontainer lakini bei yake ni sawa na kujenga ghorofa dogo tu kwa material za kawaida
 
Hiyo labda umeme ungekuwa wa uhakika unaweka kiyoyozi sio kwa jua linalowaka bongo
 
Back
Top Bottom