Unaweza kumiliki ghorofa hili kwa milioni 30 tu!

Unaweza kumiliki ghorofa hili kwa milioni 30 tu!

Watanzania tunashindwa hata kutofautisha kontena na ghorofa kweli?!
 
Baada ya miaka mitano bati linaoza linatoboka unaanguka unakufa.
 
Kuna umbali wa kilometre ngapi kutoka container hadi ghorofa?
 
Sasa kama hostel za Udsm zimegharimu billion 10 mbona hilo la kontena linabei sana.
 
Unanivunja mbavu zangu brother hivi ukiwa na Hilo container na wewe utasema una ghorofa?
Mkuu we si unaliona lilivyotulia? Kwani ghorofa maana yake nini? Maana zipo mpaka za mbao. We umekariri za nondo, zege na tofari? Tena hilo mkuu hata wakikukera au wakisema vunja unaweza kuhamisha wengine wakati wanavunja wewe unapangua makontena yako, unakodi gari unahamisha na kwenda kuanza maisha sehemu nyingine.
 
KWAIYO IKITOKEA SHOT KONTENA ZIMA LINAKUWA UMEME HALIKANYAGIKI
 
Hapo jua likipiga bara bara itabidi utoke nje utafute mti utulie[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom