Lazima uweke feni na viyoyoziJua likiwaka panakalika kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo hakuna ghorofaYaani ili useme unaghorofa au uone wenzako chini wewe juu ???
Ila kuna bandari ya nchi kavu ama? Ha ha ha umenchekesha sana mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo hakuna ghorofa
Ndiyo lilikuwa swali langu.Jua likiwaka panakalika kweli?
Aliyekwambia kuwa container ft 40 linauzwa bei hiyo kakuongopea.Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo rahisi kulitambua kwakuwa linaonekana kama limejengwa kwa tofari. Asiye rasmi ameniambia kuwa container la futi 40 linagharimu kati ya mil 4.5 hadi mil 5 hivyo kwa makontainer manne yaliyotumika hapo ni wastani wa mil 20 Hiyo milioni 10 inaweza kutumija kwaajili ya partion, alminium, paa nk na ukikata vizuri hutakosa vyuma vinne chini na juu vinne pia pamoja na sitting room. Sina uhakika sana inaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo kulingana na ukubwa wa vyumba utakavyohitaji au mahitaji yako
Ndiyo maana nikasema siyo rasmi ni makisioAliyekwambia kuwa container ft 40 linauzwa bei hiyo kakuongopea.
Kuejnga nyumba ya ghorofa ni cheap lakini siyo kwa kiasi ulichosema maana kuna materials nyingi zinahitajika ikiwemo insulation inayobandikwa kuzuia joto lisikuue humo ndani kwa kulitazama tu hiyo milioni 10 haitoshi kwa ajiliya ya hizo chuma hizo aluminium, hizo insulating materials, ufundi, wireling na kutengeneza foundation na sakafu yatakapokaa.
Unanivunja mbavu zangu brother hivi ukiwa na Hilo container na wewe utasema una ghorofa?Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo rahisi kulitambua kwakuwa linaonekana kama limejengwa kwa tofari. Asiye rasmi ameniambia kuwa container la futi 40 linagharimu kati ya mil 4.5 hadi mil 5 hivyo kwa makontainer manne yaliyotumika hapo ni wastani wa mil 20 Hiyo milioni 10 inaweza kutumija kwaajili ya partion, alminium, paa nk na ukikata vizuri hutakosa vyuma vinne chini na juu vinne pia pamoja na sitting room. Sina uhakika sana inaweza kuwa zaidi au pungufu kidogo kulingana na ukubwa wa vyumba utakavyohitaji au mahitaji yako
Unanivunja mbavu zangu brother hivi ukiwa na Hilo container na wewe utasema una ghorofa?