realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?
Zingatia: Hii haihusiani ndugu.