Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
siwezi mtolea figo mke, rafiki yes ila sio mke never.. mke sio nduo yako, anaweza kukuacha na akaolewa kwingine
 
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Sasa haya ndio maswali gani...
 
Siku unamkuta mtu uliyempa figo anazagamuliwa na linjemba lingine ALOOOOHH, ntamrarua tumbo nichukue figo yangu.

Nafurumua utumbo nje utumbo ndani, huwezi kutombwer kwa kutumia figo yangu.

Ntageuka kuwa DOKTA UCHWARA kwa muda, ni kuchimba tumbo kwa kutumia mikasi ya kunyolea ndevu.

Cc: Extrovert DR Mambo Jambo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ukiwa unasoma maoni ya
BICHWA KOMWE - na
Stress Challenger usisomee Kwa sauti mbele za watu utadhalilika πŸ˜€
 
Kwanini baba ake mzazi asimpe hiyo FIGO?

Mwili wangu ni mtukufu, siwezi kuchomoa figo langu nilibandike kwa kipusa ambaye tumekutana tu bar nikamtandika hogo akaanza kujiita MAMA KOMWE!

Siku atakayoniomba figo ntamcharaza kweli kweli ntampa kichapo cha GOVINDA au VAN DEO, namsawazisha meno yote ya mbele. EBOO!! FAMCHEZO!

Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Maghayo
Mwanasheria wangu umesema basi siongezi neno , hivyo hivyo km wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…
 
Siku unamkuta mtu uliyempa figo anazagamuliwa na linjemba lingine ALOOOOHH, ntamrarua tumbo nichukue figo yangu.

Nafurumua utumbo nje utumbo ndani, huwezi kutombwer kwa kutumia figo yangu.

Ntageuka kuwa DOKTA UCHWARA kwa muda, ni kuchimba tumbo kwa kutumia mikasi ya kunyolea ndevu.

Cc: Extrovert DR Mambo Jambo
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom