Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Huwezi kumpa figo mtu yoyote,ni mpaka kufanyike vipimo,kama figo yako inaendana na mgonjwa.Mwaweza kuzaliwa tumbo moja,lakini figo zisiendane,ikaendana na ya mtu baki.
 
Naomba mungu aniepushe kwanza...
 
Unawezaje kupokea oxygen katika mimea ambayo huimwagilii maji wala huna muda waiangalia?

Ikitokea umepata ajari unawezaji kuwekewa damu ya mtu usiyemjua?

Jibu ni " kuokoa maisha yako na wengine "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…