SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema.
Mazingira yakabadilika, hisia zikaongezeka kati yako na yeye. Ukataka kujiridhisha kama kaka yako hajawahi kula mzigo, demu akakiri kuwa liliwahi kutokea na inavyoonekana bro anakulaga mzigo mara kwa mara ila kwa jinsi unavyomjua bro wako hawezi kuwa na mpango na huyo mwanamke.
Kama umetokea kumuelewa huyo manzi na unajua bro wako hawezi kuwa na shida na wewe, unaweza kuwa tayari kuingia katika mahusiano rasmi na mwanamke aliyekuwa na uhusiano na bro wako?