Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?

Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?

2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?

3.Ulevi je?
 
Jichanganye

Ufe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea Sana ..
Kuna wanouza bar sababu bar ni biashara ya familia... anarudi shule anakaa counter..
Au bar ya mjomba anasaidia hiki na kile

Kuna anauza bar Kwa shida za maisha pia
Akipata shughuli ingine anafanya
In fact wapo walio oa wauza bar bila kujua..
Watu hupitia safari nyingi za maisha..

Kuna bar owners pia wanawake..

But all in all kina Yale mashankupe ..mapaka ya bar..hata kama hauzi bar kutwa yupo hapo..
Ndo kama sebule yake...na akihama bar hii anaenda ingine Acha kabisa
 
K
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?

Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?

2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?

3.Ulevi je?
Kama umeshakolea kwa bar maid we weka ndani tu! Funika akili, fungua moyo! Ukweli utaupata baada ya kufanya practical, utakayoambiwa hapa ni ya kusadikika, kudhaniadhania tu...hayatakuwa na ukweli maana ukweli upo kwa huyo huyo!
 
Wengine walioa bar maids, wanalia. Na wengine wanafurahia.

Oa tu mkuu. Unaweza kuwa kati ya upande mmojawapo. Kamwe huwezi kuwa neutral.
 
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?

Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?

2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?

3.Ulevi je?
Mwanamke YEYOTE ambaye amekuwa na mahusiano na wanaume mbalimbali hafai kuwa mke, period!! Ogopa kama ukoma mwanamke mwenye maujuzi mbalimbali ya ngono, utajuta.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?

Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?

2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?

3.Ulevi je?
Generally tunachukulia kua Wanawake wote wafanya kazi Bar ni Maharage ya Mbeya .... kwa maana hiyo ,Hawafai kabisa kufanywa Mke.

Individually, Kwa kuzingatia nn hasa sababu ilomfanya ajitupe uko, ni uchumi tu?? anafanya kwa malengo yepi? Anafanya sambamba na ngono ???( wapo baadhi wanaofanya sababu ya hali ngumu, nakwamba kwao hawapo kwaajili ya ngono... Nasema baadhi Yaan wachache)..... Huyu ukimhakikishia Mahitaji yake ya msingi kama mwanamke, atabadilika na kua Mpya .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa bar mkuu ni ngumu kumuoa...kwanza silaha ya kuwa na wateja weng hasa wakiume ni mmiliki wa bar kutafuta visu (wadada warembo) kuwepo pale,.
hii inaashiria kwamba wale wanawake wanakuwa kivutio, hata mdau akiwa anapiga gambe akamuita mhudum akamshka kdog atafanyaj sasa, bimdada lazma alegeze saut....ukiwa mkali uone kama hutoenda kwenu mana unatfkuzia wateja wetu...sasa hapa hapajakaa vizuri kwakwel.

Sent using [Samsung galaxy s10]
 
Back
Top Bottom