britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
UfeMwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
Kama umeshakolea kwa bar maid we weka ndani tu! Funika akili, fungua moyo! Ukweli utaupata baada ya kufanya practical, utakayoambiwa hapa ni ya kusadikika, kudhaniadhania tu...hayatakuwa na ukweli maana ukweli upo kwa huyo huyo!Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
Ni muuzaji vinywaji wa Grocery yake/yao
Mwanamke YEYOTE ambaye amekuwa na mahusiano na wanaume mbalimbali hafai kuwa mke, period!! Ogopa kama ukoma mwanamke mwenye maujuzi mbalimbali ya ngono, utajuta.Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
Generally tunachukulia kua Wanawake wote wafanya kazi Bar ni Maharage ya Mbeya .... kwa maana hiyo ,Hawafai kabisa kufanywa Mke.Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?