Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

Kama utampa mahitaji yake mengi kuna uwezekano mkubwa akatulia.
 
Niliwahi kumchukua mmoja kama house girl...aliweza kuficha makucha kwa wiki moja tu

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Ni kama wanaume tu
Basi tu wanawake wanakua judged differently
Si kweli madam. Ifike wakati tuheshimu tofauti za kimaumbile. Mfano mdogo tu, ni lini mara ya mwisho ulisikia mwanamume akilalamika kuwa mkewe hamkojozi? Kwamba hamfikishi? Ukitafakari hapo utagundua ni nani mhitaji wa hizo staili mbalimbali za mapenzi, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Kadri mwanamke anavyofanya mapenzi na waume wengi ndivyo anajipatia uzoefu tofauti wa kustarehe, jambo ambalo mwanamume wala halina umuhimu. Wanaume tunajifunza staili tofauti kwa sababu 1. Kuepuka aibu 2. Kumburudisha mwanamke. Vinginevyo starehe ya mwanamume na kukojoa tu.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Basi bora wajiachie tuu.,utamu mnataka mpate wenyewe tu sio?
Tofauti za kimaumbile ziheshimiwe kila mtu atafute utamu wake!
 
Basi bora wajiachie tuu.,utamu mnataka mpate wenyewe tu sio?
Tofauti za kimaumbile ziheshimiwe kila mtu atafute utamu wake!
Hujanielewa madam. Mwanamke akiwq na mwanamume mmoja tu (wa kwanza) atajifunza kustarehe kwa staili yake tu. Atafurahia mapenzi kabisa. Shida ni pale anapoharibiwa kisaikolojia kwa kuangalia staili mpya kwenye picha za ngono ama kwa kufundishwa na wababe wengine anaikutana nao. Watampa ujuzi aina mbalimbali kiasi kwamba ni ngumu kwa mwanamume mmoja kumridhisha.

Mfano mwingine tazama mwanamume ambaye amefundishwa kuwa kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile ni starehe ya juu kabisa (mwanamke naye hudanganywa hivyo) matokeo yake atatamani kutekeleza hilo kwa sababu ameharibiwa kisaikolojia kiasi kwamba atajiina hafurahii mapenzi kwa njia ya kawaida. Lakini je, ni kweli kwamba raha ya mapenzi ipo nyuma? Ndivyo ilivyo madam, mwanamke anaharibiwa kisaikolojia na mafunzo ya pembeni (wakiwemo mashoga zake) kwa kumfundisha mambo yaliyo kinyume na taratibu.



Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Shida ni pale mnapomuhimiza mwanamke atulie ila mwanaume haina shida...this vicious cycle will never end!
 
Yes uanweza...

Na yes anaweza kutulia...

Ina maana ya kwamba umekubaliana na tamaa zake zote, kwa hiyo uwe unamtekelezea... (Pombe, Fedha, Ngono)



Cc: mahondaw
 
Shida ni pale mnapomuhimiza mwanamke atulie ila mwanaume haina shida...this vicious cycle will never end!
Mkuu, wote wanatakiwa watulie, lakini ikitokea hawajatulia basi madhara makubwa yako kwa mwanamke, hiyo ni fact. Hapo wa kulaumiwa ni muumba

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
iyo tabia ni ngum kuach kam punyet tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanaofanya kazi wote bar ni malaya?? Mule si kuna wanaume pia kwani wale hawana wake zao nyumbani? Wakati mwingine umalaya nimtabia ya mtu, mbona wapo wenye kazi nzuri na ndoa zao lakini ni wazinzi wakubwa? Si wote wanaofanya kazi bar ni malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtu analipwa mshahara elf 80 unategemea anaishije huyo?
Wale watu 99% wanajiuza..
 
Akiacha kazi siku mbili nyingi hutomjua na utamuoa, hata huyo huenda aliwahi kufanya kazi bar.
 
Daa! Inategemea mkuu mwingine ameamua kbsa kuolewa hiyo michezo michafu kaacha
 
Mwanamke anayejitambua hawezi kufanya kazi hiyo. Hizo ngano za kuwa wapo wanaofanyabaa wenye tabia nzuri ni ndoto za alinacha. Kufanya kazi baa pekee ni tabia mbaya!! Kuwa na wenye tabia za umalaya ndani ya ndoa ama kwenye kazi nzuri hakuondoi ukweli kuwa sekta ya baa inahitaji usiwe na akili timamu. Hawa nao ni wale wale isipokuwa wamepata wenye akili mbovu kama wao wakaoana ama wamepata rehema ya kuwa na ajira tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…