Unaweza kumuua mtu lakini huwezi kuua wazo lake!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa?

Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la machozi nani kajengewa Mnara?

Watu wasio na akili hudhani mateso ama mauaji huondoa wazo la mtu Kwa jamii.
 
The simplest we say you can kil Mwanamapinduzi but you can't kill revolution.
 
Yaaah its true..
Uwezi angamiza wazo langu la kupenda mashangazi kwa kunipiga binduki ya kichwa..

Zaidi zaidi takufa mimi ila my concept will remain from this generation to another.
 
The simplest we say you can kil Mwanamapinduzi but you can't kill revolution.
Wapenda kuua watu Wala hawajui kuwa mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam jina lake linatokana na mwana wa Afrika Patrice Lumumba Aliyeuawa kikatili na waroho wa madaraka na vibaraka uchwara wa wakoloni.
 
Ila hapa naanza kupinga kidogo..
Mwanzoni nilikua naona wamama wabonge jau jau tena nikawa nawaza how come kutoka nae aiseeee..

But hili wazo kuna mtu aliliua anaitwa dorry huyu naimani ndgu yangu Vishu Mtata anamjua..

Huyu alinipelekea nikawa ua wazo langu la zamani na sasa nipo na wazo jipya kuhusu hawa watu...

Sasa hili wazo la mishangazi nawaza sijui kitu gani kinaweza kuliondoa kwa kichwa...
Maan mpaka ndoto zangu za kuwa dactar zimekatika kwa sababu ya kupenda mashangazi
 
What you seek is seeking you .
Is mind game love over sex and vise versa
 
Wayahudi walidhani kwa kumsulubisha Yesu basi ndiyo ungekuwa mwisho wa mafundisho yake, kumbe walikosea kabisa.

Leo hii duniani kote Kuna wafuasi wa Yesu Kristo zaidi ya bilioni mbili na badala ya kuhuzunishwa na kusulubiwa kwake, wao wamefanya kifo cha Yesu Kristo kama ni alama ya ukombozi.

Unadhani wamarekani walikuwa wajinga kuamua kumzika Osama Bin Laden baharini kusikojulikana?
 
Na kingine Cha kukumbuka KICHWA HAKILINDIKI!
utamfunga mtu gerzani lakini hujafunga akili yake! Hujui anawaza Nini!
 
Nope !!, Unaweza kuua wazo lake kwa propaganda au kuonyesha kwamba halina mashiko au kwa kulipindisha...

labda useme huwezi kuua ideology ambayo ina mashiko at any given time sababu hio idea inawagusa wengi na sio ya mtu mmoja (ukishaanza kusema idea ni ya mtu, basi unless it's factual, convenient, relevant na ipo katika right time and place, basi itakufa kifo cha kawaida)
 
Asante. Umeunga mkono hoja yangu?
 
Back
Top Bottom