Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
The simplest we say you can kil Mwanamapinduzi but you can't kill revolution.Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa?
Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la machozi nani kajengewa Mnara?
Watu wasio na akili hudhani mateso ama mauaji huondoa wazo la mtu Kwa jamii.
Wapenda kuua watu Wala hawajui kuwa mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam jina lake linatokana na mwana wa Afrika Patrice Lumumba Aliyeuawa kikatili na waroho wa madaraka na vibaraka uchwara wa wakoloni.The simplest we say you can kil Mwanamapinduzi but you can't kill revolution.
Wapenda kuua watu Wala hawajui kuwa mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam jina lake linatokana na mwana wa Afrika Patrice Lumumba Aliyeuawa kikatili na waroho wa madaraka na vibaraka uchwara wa wakoloni.
What you seek is seeking you .Ila hapa naanza kupinga kidogo..
Mwanzoni nilikua naona wamama wabonge jau jau tena nikawa nawaza how come kutoka nae aiseeee..
But hili wazo kuna mtu aliliua anaitwa dorry huyu naimani ndgu yangu Vishu Mtata anamjua..
Huyu alinipelekea nikawa ua wazo langu la zamani na sasa nipo na wazo jipya kuhusu hawa watu...
Sasa hili wazo la mishangazi nawaza sijui kitu gani kinaweza kuliondoa kwa kichwa...
Maan mpaka ndoto zangu za kuwa dactar zimekatika kwa sababu ya kupenda mashangazi
Na kingine Cha kukumbuka KICHWA HAKILINDIKI!Wayahudi walidhani kwa kumsulubisha Yesu basi ndiyo ungekuwa mwisho wa mafundisho yake, kumbe walikosea kabisa.
Leo hii duniani kote Kuna wafuasi wa Yesu Kristo zaidi ya bilioni mbili na badala ya kuhuzunishwa na kusulubiwa kwake, wao wamefanya kifo cha Yesu Kristo kama ni alama ya ukombozi.
Unadhani wamarekani walikuwa wajinga kuamua kumzika Osama Bin Laden baharini kusikojulikana?
Na ushahidi unaonesha kuwa watesaji wengi duniani ama ni watu waoga au ni dhaifu Sana kiakili.Na kingine Cha kukumbuka KICHWA HAKILINDIKI!
utamfunga mtu gerzani lakini hujafunga akili yake! Hujui anawaza Nini!
Asante. Umeunga mkono hoja yangu?Nope !!, Unaweza kuua wazo lake kwa propaganda au kuonyesha kwamba halina mashiko au kwa kulipindisha...
labda useme huwezi kuua ideology ambayo ina mashiko at any given time sababu hio idea inawagusa wengi na sio ya mtu mmoja (ukishaanza kusema idea ni ya mtu, basi unless it's factual, convenient, relevant na ipo katika right time and place, basi itakufa kifo cha kawaida)