Unaweza kuoa mke mwenye sura Personal na akakupasua kichwa tuu!

Uzi bila picha ni mataputapu
 
Naunga mokono hoja!
Oa mwanamke mzuri na unaeweze kuongozana nae. Sio sura personal afu unaanza kusumbua wake wa wenzako.
 
Katika macho yangu haya ya nyama bado sijafanikiwa kuona mwanamke mbaya wa sura , ukiona nimesema wapo wabaya ni
kufuata mkumbo tu .

HAYA MAMBO YAPO KIMTINDO SANA UNAWEZA KUONA UNA MWANAMKE MZURI ILA MBELE YA MACHO YA MWINGNE NI WAKAWAIDA SANA.
 
Katika macho yangu haya ya nyama bado sijafanikiwa kuona mwanamke mbaya wa sura , ukiona nimesema wapo wabaya ni
kufuata mkumbo tu .

HAYA MAMBO YAPO KIMTINDO SANA UNAWEZA KUONA UNA MWANAMKE MZURI ILA MBELE YA MACHO YA MWINGNE NI WAKAWAIDA SANA.

Ukiona kuna wanawake wazuri ujue kuna wabaya pia.
Ukiona kuna watu wafupi jua wapo warefu.
 
We ni mwanaume mzuri ama mbaya?
Upo category ipi?

Wanaoniona ndio wanaweza kuniambia kuwa physically Mimi ni mwanaume wa aina gani.
Mtu hawezi kujielezea kwa nje alivyo kama asipoambiwa. Kama kusingekuwa na kioo au maji, au vitu vyote vinavyoakisi taswira ya mtu basi Watu wasingejijua wanafanana je.

Labda moyo au nafsi yangu ninaweza kujibu swali lako kuwa mimi ni mwanaume mbaya au mzuri kwa sababu ninajijua kuliko binadamu mwingine
 
Ubaya am uzuri wa kimuonekano kwa upande wako unaupima kwa vigezo gani?
 
Ukiona hivyo ujue basi bado hujakutana na wanawake wazuri.
Wapo wanawake wazuri sana hata ungelala nao mara elfu.
Inawezekana mkuu , ila kwa sasa mwanamke mzuri ni anae leta wazo la ugali unafikaje mezani mkuu , Figo zikishafeli ata uzuri wa sura huta uona mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…