Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

Remy Tem

Member
Joined
Dec 5, 2020
Posts
15
Reaction score
7
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.

Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
 
Na je ni uhakika kupata au yupo ambae alishaawahi kufanya hivo?
 
Pole nenda kweny ofisi za bodi kwa msaada au wasiliana nao
 
Ningumu kuliko hata kutafuta pesa zako mwenyewe ukajilipia upya.

Kifupi disco ina consequences zake ikiwepo na hiyo. Mkiambiwa msome mnakalia konyoa viduku.

Pole sana ndugu.
 
Hakuna nasema kwenye SERIKARI yangu udisco harafu urudi na mkopo upate?! Hiiiiiiiiih
Nasema uongo Ndugu zanguuuu
anapata endapo
1.hajavuka miaka mitatu toka amalize form six
2. hiyo kozi ni priorty
3. amelipa 25%
hivyo tu vinginevyo hupati
 
Sababu zpo nying ina depend na chuo unacho soma
Acha uongo wewe.....haijalishi chuo unachosoma Disco ni Disco...labda utoe sababu za kifamilia sio kusema eti inategemea chuo unachosoma!
 
Back
Top Bottom