Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp

Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp?
Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo ntakuwa Nina uhakika wa wateja ambao wananiamini Nina uaminifu nao.

Pia Nina kuwa Nina access ya kuwa karibu nao kupitia charting hivyo nitakuwa Nina Hamasa ya kuwashawishi wateja Wangu.

Sasa Nina Imani kupitia WhatsApp yako ili jambo Sio geni Kuna watu unawajua wanafanya biashara kupitia platform ya WhatsApp

Sasa nataka kupitia wewe uniambie kupitia platform yako ya WhatsApp unaona watu wanafanya biashara Gani ambayo unaona inatoka na ina movement kubwa

Nina maanisha niambie kupitia WhatsApp yako unaona wafanya biashara Gani uniambie hapa niishi nayo..

Kupitia hii Mimi na wewe tunaweza kupata wazo Zuri la biashara

Naomba unisaidie Kwa faida ya wengine tuweze kupata wazo Zuri la biashara

Ahsante
 
Back
Top Bottom