Just talker
Member
- Jan 6, 2021
- 50
- 63
BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI.
Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani. mungu anakuonesha ulivyo ishi kumbukumbu ikiisha inaonekana kama umekufa lakini unakuwa umetolewa kwenye kumbukumbu na tunao ona kama umekufa, sisi tunakuwa bado tupo kwenye kumbukumbu zetu, ambazo na sisi zitaisha na tutaonekana kama tumekufa. ila mbinguni unakuwa ushajua kama utahukumiwaje kulingana na ulivyo yaona maisha haya unayo yaishi.
Haujiulizi kwanini hauwezi kubadilisha litakalo tokea kesho (future), kwakuwa haya maisha ni kumbukumbu tu na tukio la kesho yako limeshatokea tayari kwahiyo lazima litokee. Yaani kwa mfano kama kesho utaiba, Leo unakuwa haujui chochote anaye jua ni mungu tu kwahiyo lazima kesho ikifika lazima unatakiwa uibe kukamilisha namna ambavyo inatakiwa kuwa.
Siku zote kitu ambacho sikipatii majibu huwa ni njozi tu, japo kuna siku nitajaribu kuelezea jinsi ambavyo binafsi naichukulia njozi. leo wacha nisemee haya maisha.
Kwa ufupi haya maisha ni kama vile movie imeshaisha halafu umeianza upya, matukio yote lazima yawe kama ulivyo yaona mala ya kwanza.
Kwanini hakuna anaye weza kuijua kesho yake, kwanini kama utaiba kesho au kama utaua au kama utadanganya au kama utatenda dhambi yoyote hauna uwezo wa kubadilisha matukio yote ya kesho.
Sasa swali mungu ndo anaye ijua kesho yako, kwanini kama kesho utatenda dhambi yeye ashajua utafanya hivo na wewe huwez kujua, kwanini asikuzuie kufanya na anajua hauwezi kubadilisha kesho yako, akuache ufanye halafu akuhesabie dhambi. kuna mtu atahisi kuwaza haya ni kukufuru lakini hapana nikatika kuutafta ukweli wa haya maisha.
Yaani mungu ndiye anaye ujui kesho yako, kama kesho utatenda dhambi ukiwa bado upo ni leo haujajua kama kesho utakosea ila mungu ashaona na kujua kesho utamkosea, na mungu akishaona kesho yako wewe hauna uwezo kubadil tukio liwe tofauti na alivyo liona na kama utaweza kubadili mfano alikuona kesho unaiba halafu kesho usiibe basi unakuwa ni mwanzo labda wa mungu kuiona kesho yako ya uongo.
Kwahiyo lazima kama alivyo iona kesho yako ndiyo ikawe hivo hivo, swali ni kwanini mungu asikusaidie kukubadilishia kesho yako hiyo mbaya. Anakuacha ukakosee akijua hauna uwezo wa kubadilisha halafu anakuhesabia dhambi ?.
Na majibu ya maswali yangu yote yanakuwa huenda kabisa haya maisha ni kumbukumbu ya maisha yaliyo pita au tuliyo yaishi tayari.
Kwasababu mungu anatupenda hawezi ruhusu watu wake tumkosee Wakati ana uwezo wa kurekebisha makosa yaliyo nje ya uwezo wetu.
Kuna mwingine atasema, wapo watabili au wanao tokewa na njozi. Hilo sikatai swali ni je? Wanapo tabili tukio flani litatokea na likatokea si bado ni vile vile wameyaona matukio ya mbele na hayajabadilika. Uongo ni kwenye movie eti jamaa anatembelea future yake anajua atakavyo kufa halafu anataka siku ikifika akikwepe kifo 😂😂.
Kwa maelezo hayo inatosha kabisa kuniaminisha kuwa huenda Haya maisha, tulishayaishi tayari na hizi ni kumbu kumbu ambazo hauwezi kujua wala kuwaza kuwa ni kumbukumbu kwasababu ni picha tu imewekwa hauwezi badilisha screenplay.
HII NI YA KUFIKIRIKA JAMANI, SIJASEMA NDIO UHARISIA NI NAMNA NAVYO WAZA 😀😀😀😀
Naitwa Donrugi Instagram na Twitter