Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayoendelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani

Dini ya meditation inaamini kwamba binadamu tunaashi uongo wanadai hiki unachokiona ni uongo sio kweli. Wasema eti kuna dunia ya uhalisia hapahapa kwenye dunia ya uongo. Lazima utulize akili na kufuta kumbukumbu zako zote tangu ulipozaliwa mpaka sasa. Duhh. Hii noma Sana'a
 
Alafu wanao kufa sasa ndio wanazaliwa duniani
 
Da kama hizi ni kumbukumbu je kuna namana niache hiz kumbukukumbu maana si mchezo
 
Hatujafa sema haya maisha yote ni ndoto sio real.hizi ni ndpto tu
 
Sio kweli jamii forum ilikuwa haijaanzishwa,kwenye kumbukumbu isingekuwepo
We jamaa ni kilaza sana, yaan kitu kiwepo kwenye kumbukumbu halafu useme hakikuwepo..kisa usha assume miaka mingi tofauti wakati unaongelea the same dimension!
 


You are just talking 🀣
 
Hivi TBS ndio wanaodili na standards za vinywaji tunavyotumia?
 
Hongera kwa fikira zenye uhai,ukiwa hai na afya mujaarabu ya ubongo kuwaza hakukwepeki.
β€’ Kuhusu kwamba saivi tuko mbinguni kwa jinsi nionavyo Mimi siyo kweli kwa sababu zifuatazo.....
1.Mbinguni kuna mwenye enzi ambaye ndiye Mungu, lakini saivi tuko katika ongozi na tawala mbalimbali za dunia hii,ambapo utawala mmoja unaenda kupigana na utawala mwingine.
2. Kwa mujibu wa maandiko,baada ya kupaishwa mbinguni tutavaa miili mipya ambayo haitaona kiu wala njaa.
3.Imeandikwa mwanadamu atakula kwa jasho lake,kwa maana lazima tufanye kazi ili tupate kula,mbinguni kuna kazi ya kumsifu Mungu pamoja na kuabudu.

=> Nakumbuka maandiko ya mwanafalsafa mmoja alisema..."Mungu aliziumba roho nyingi kwa wakati mmoja,na huwa kila roho anaishusha duniani kwa nyakati na kusudi maalumu kupitia kuzaliana kwa wanadamu"
Hivyo napenda kukukumbusha ndugu yangu uliyeandika Uzi huu bado tuko duniani,unapoona kuna matukio ya magonjwa kama covid,ambayo hayana tiba yanayousumbua ulimwengu mzima,na kupelekea kujifungia majumbani bila kutoka,uyaonapo haya jua bado tuko sayarini,lakini tujue ujio wa mwenye enzi umekaribia.
 
We ushaambiwa tunaangalia display ya picha iliyo pita, sasa utavaje mwili mpya kwenye kumbukumbu ya zamani..ina maana unataka u-edit ndoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…