Unaweza kutembelea Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani

Mkuranga au mkurunga mi nilifikiri ni mahali kwingine.
Anyway sio ziwa ni bwawa.
Nilipita rouge road kuelekea masaki kuna mlima huko kati niliona hilo bwawa kwa chini
Hili sio kosa langu kiuandishi!! Nadhani waliohusika kubadilisha kichwa cha habari, wanapaswa kufanya marekebisho kwa walichokiandika. Cc Mods.
 
Mtoa mada ulifika Mtanza?
Kuna kuku wakienyeji hatari pale
 
Nikipata nafasi nitaenda ila...

Wenyeji wanajua na kuliita bwawa wewe mgeni wa muda mfupi unatuambia ziwa, sasa nani anajua zaidi kati yako na wenyeji walioliona bwawa likiwa kijito kidogo hadi sasa baada ya uharibifu wa mazingira over climate change na kuwepo bwawa hilo?.
Halijatikana na uharibifu wa mazingira.

Wenyeji ni Wazaramo na Wandengereko.
 
Nmetamani sana kupata shamba mkuranga ila mwenyeji wangu anataka kuhama kumuuliza sababu nini anadai wanga sana
Naapa kwa la Mungu sio uongo hata kidogo, kuna watu watakuja na kusema hawaamini kwa kifupi picha linaanza ,

Wale waswahili wakikuuzia kitu wanakuuzia huku wamekunja nafsi hawajaridhika kabisaaa ,
Unaweza kwenda kununua ukakuta wanauza sababu wakacheze ngoma au ni la urithi kila mtu afe na chake ,

Ila wakikuuzia tu jioni mbali wanaitana " jamanini tutatoane eneo letu kirahisi tu🤣🤣 na hapo hela umelipa,

Basi wanapiga kinyamazongo hiko kiwanja utakiona kama kituo cha polisi mpaka utasahau kabisaaa.

Sikufichi mimi niliuza tena sababu hiyo hiyo kila nikipanga kwenda kuangalia eneo moyo unakua mzito balaaa

Nikaja ng'atwa sikio bwanaaa eeenh ushapigwa kitu cha ukraine na aliyeniambia ni mmoja wa wauzaj🤣🤣🤣
 
Daah shenz kabisa mm nilitamani nipate angalau heka 10+ nijijengee mji wangu😂
 
Naapa kwa la Mungu sio uongo hata kidogo, kuna watu watakuja na kusema hawaamini kwa kifupi picha linaanza ,

Wale waswahili wakikuuzia kitu wanakuuzia huku wamekunja nafsi hawajaridhika kabisaaa ,
Unaweza kwenda kununua ukakuta wanauza sababu wakacheze ngoma au ni la urithi kila mtu afe na chake ,

Ila wakikuuzia tu jioni mbali wanaitana " jamanini tutatoane eneo letu kirahisi tu🤣🤣 na hapo hela umelipa,

Basi wanapiga kinyamazongo hiko kiwanja utakiona kama kituo cha polisi mpaka utasahau kabisaaa.

Sikufichi mimi niliuza tena sababu hiyo hiyo kila nikipanga kwenda kuangalia eneo moyo unakua mzito balaaa

Nikaja ng'atwa sikio bwanaaa eeenh ushapigwa kitu cha ukraine na aliyeniambia ni mmoja wa wauzaj🤣🤣🤣
Umehamia wapi binamu😁
 
We angalia angalia tu maeneo ukiona yana asili wa wazawa wazawa upaogope mpwa we mtu anakuuzia eneo hela yako kachukua lakini ukishaondoka wanaitana wanalia weeeeeeeh si uchimvi huo
Ila sema nini mm nikitoa hela patachimbika aisee watahama wao wenyewe ..😂😂

We angalia.....mm nataka shamba nikafuge pia nifanye kilimo bado kijana mdg sina hayo mapesa kwenda kununua mashamba kwenye maeneo mengine ....

Hayo maeneo yenye wazawa wavivu ndio yana rutuba n.k.

Wanataka niende wapi sasa kikubwa natafuta wenzangu wawili watatu tuchukue maeneo makubwa tukafukuzie mbali wazawa😂😂
 
Back
Top Bottom