Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Let me guess!!! Chinga we ni mtu wa kanda ya ziwa maeneo ya kina Waitara...Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
Hivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
Why?Let me guess!!! Chinga we ni mtu wa kanda ya ziwa maeneo ya kina Waitara...
daah huyu mtoto safi sanaHivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?
Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughterView attachment 822651
Nivae kikuku kisa nini? iam a gentlemanIyo kawaida sana.
Je unaweza kuvaa kikuku kama Diamond???
Diamond bado marinda tuHivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?
Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughterView attachment 822651
Mkuu Mangi ..unauhakika gani bado marinda tu..binadamu tuna siri nzito sana..Diamond bado marinda tu
Muda wajaaMkuu Mangi ..unauhakika gani bado marinda tu..binadamu tuna siri nzito sana..
Nae inaonekana ana ubishoo wa miaka mingi sijui karithi kwa marehemu babu yake.Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
aiseee kumbe mh museveni ana mtoto mzuri hivi!!!Hivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?
Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughterView attachment 822651