Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?