Unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?
Screenshot_20180730-131717.png
 
Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
Let me guess!!! Chinga we ni mtu wa kanda ya ziwa maeneo ya kina Waitara...
 
Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
Hivi unafahamu kwamba Diamond anavaa kikuku?

Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughter
FB_IMG_1532944997804.jpg
 
Ulimwengu unaenda kasi sana na fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kiatama) sio siri hakuna asiyependa kwenda na wakati but kuna fashion nyingine dooh....je unaweza kuvaa kiatu kama hiki cha Davido na ukatoka kwa madaha yote mbele ya umma?View attachment 822639
Nae inaonekana ana ubishoo wa miaka mingi sijui karithi kwa marehemu babu yake.
 
kumbe davido ana #kaprobox aje ajiunge na #UBER atapiga #mkwanja balaa
 
Back
Top Bottom