Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
72D71D85-8E54-4149-9348-F06799BDCCF8.jpeg
 
Shida iko wapi?

Anyway hata wewe mwenyewe umesema hujui kwann huwezi so uzi wako unatunyima uwanja wa kuchangia
 
Sivipendi hivyo viatu, bora hata vile vya kike ila vya kiume hapana.
 
Back
Top Bottom