Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Kwenye jamii kuna Ile dhab potofu kuwa kufanya Kazi ngumu, au kuteseka au kwenda kazini kila siku ndio hardworking Jambo ambalo sio sahihi.
Hardworking labda kwa Kiswahili ungeita juhudi au bidii. Tunaita kufanya Kazi kwa Bidii au juhudi.
Unaweza ukawa mchapakazi lakini usiwe na bidii. Yaani usiwe hardworking.
Bidii inahusu mambo yafuatayo;
1. Kupenda unachofanya.
Jambo lolote usilolipenda huwezi kulifanya kwa bidii. Yaani huwezi kuwa hardworking kwa kitu usichokipenda
Hapa utahusisha kufanya Kazi kwa ubora na uangalifu unaotakiwa.
2. Uthabiti (Consistency )
Hardworking inahusisha uthabiti wa ubora katika matokeo. Yaani mtu anatoa huduma au kufanya kitu kizuri au Bora vilevile au kuzidi tangu siku ya Kwanza Mpaka ya mwisho.
Huo unaitwa uthabiti.
Ukiambiwa mtu ni hardworking wanamrejelea mtu ambaye ni thabiti katika shughuli anayoifanya.
3. Ubunifu. (Creativity)
Kitu unachokifanya ukikipenda automatically utakuwa mbunifu.
Ubunifu ni sehemu ya mambo yanayoongeza thamani shughuli au huduma, pia ubunifu husaidia kukabiliana na ushindani katika soko.
Mtu yeyote asiyembunifu huwekwa hawekwi kundi la wafanyakazi wenye bidii ila atawekwa kwenye kundi la wachapakazi ila wasio na bidii.
4. Ukamilifu na utilimifu.
Perfectionism na Completionism
Kufanya kwa bidii kunahusu kufanya Jambo kwa ukamilifu likamilike(timilike).
Acha nipumzike sasa.
Karibuni Makande.