gentleman,
kusema ukweli ni muhimu sana kumshukuru mungu kwa kila jambo,
nilenda kugombea ubunge nikiwa na laki5 cash mfukoni,
niakaambiwa ati nimechanganyikiwa
sasa leo nikienda kushoto niko na wananchi wananifuata, nikienda kulia wananifuata pamoja na wale walioniita nimechanganikiwa, dah aise
haya mambo ni kuthubutu tu,
kwa mawazo, kwa mamneno na matendo.
kumbuka kutunza siri na nguvu za ufalme wako kabla hujamaliza kazi na kabla ya kufanikiwa.
Mungu ni mwema sana kwa kila mtu atakufanikisha, haachagi wala kumpendelea mtu.