Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
gentleman,Gentleman nakubali jinsi unavyo pambana ndio maana kati ya chawa wote wewe sijakuweka ignore list pekee 🐒
sasa hebu fikiria humu jf tu Tlaatlaah yupo hivi, huko field kwa wananchi unadhani atakuaje?
mimi ni mbobevu katika siasa na diplomasia,
na kikanuni mwanadipolmasia hafai kua na waoga lakini pia hafai kushindwa kuchangamana na yeyote yule.
Infact kwa case ya Tanzania, wanasiasa wote kwangu ni ndugu, marafiki na wengine ni wachumba zangu..
sijawahi kuona kama kuna sababu hata moja kumuignore yeyote hata aniporomoshee kebehi, dhihaka au matusi mazitomazito tena kwa mpangilio maalumu,
sitishikagi kabisa,
hata kuana wengine walikuaja pm ati wanamtisha mbobevu nikwambie pelekeni ushirikina wenu huko na pm yangu iko wazi mara chachechache tunachati na kusaidiana na wangwangwa kadiri ya nafasi iliyopo
so,
mimi ni kiongozi kijana sana na inafaa kua wa mfano katika kuonyesha njia, mimi ni zao la uthubutu na sio kushikwa mkono
