Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati

Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake.

Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka?

Zingatia kwamba

Tatizo la ajira ni kweli lipo na linahitaji suluhu mapema sana.

Karibu Tujadili
 
Back
Top Bottom