Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia.

Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila staili unayo ifanya mwanamke asipo ridhika huwa anakuwa anawakumbuka wale wa zamani namna walikuwa wanabinjuana kwa staili kuliko zako.

Nawasihi vijana wawe wabunifu kama Ronaldo, wasikae kama Lukaku.

ONYO: Mwanamke akikwambia alikuwa na 3 ongeza 3 nyingine iwe 33.
 
Kweli kufukua makuburi ni kutakupa amani unayoitaka kingine hakikisha unawekeza kuhakikisha haongezi wengine 100 wapya baada ya kumuoa. Tafuta vijana rijali wakusaidie kufanikisha hilo.
 
Mwanamke kila siku anatongozwa mbona kazi hiyo uambiwe kila anaempiga...
 
Bro!! Mpaka wewe unapambana kumridhisha binadamu mwenzako?

Binafsi nina mwanamke wangu ambae mbususu yake imekua sugu
Hapa napambania jina na kuacha legacy kabla sijaondoka duniani.
Wanasema ndoa ni kuridhishana, sasa hii ya kutoridhishana imetokea wapi?
 
Ukimkuta Bikira ujue ni mke wako wa kudumu, kama sivyo ujue tu nyumba ya mtu peke yake ni kaburi tu! Nyingine zote tuna - share.
 
Yani nikae nimwambie body count yangu like seriously? Hapo wewe ni wa pili sababu hujanikuta bikra
 
Back
Top Bottom