issa saika kabuka
Member
- Jan 7, 2014
- 22
- 2
Wana JF naombeni mchango wenu juu ya hili swala,kuhusu biashara yoyote ambayo naweza nikaianzisha bila mtaji.
..
..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF naombeni mchango wenu juu ya hili swala,kuhusu biashara yoyote ambayo naweza nikaianzisha bila mtaji.
..
Sometime uwe unatumia akili ukiwa unataka kupost.
Swali langu je, mtaji ni kitu gani?
Wana JF naombeni mchango wenu juu ya hili swala,kuhusu biashara yoyote ambayo naweza nikaianzisha bila mtaji.
..
Kidogo inakua ngumu. Je una ofisi yako?. 2 mdhini. Hakuna alie juu bila kuanza chini. Ww unajisaidiaje. Achana na majaribu ya wengine humu jf.Sometime uwe unatumia akili ukiwa unataka kupost.
Labda anataka tumshauri namna ya kutumia kabaang yake bila madhara
Hata ukijiunga forever lazima uwe na mtaji,... huyu jamaa sijui kama yupo vizuri ..,.. may be is an empty mind ''TABULARASA PERSON''
Jamani babu, mbona wamtukana mwenzio.
Ni kweli waweza fanya biashara bila cash.