Unaweza ukaanza biashara bila mtaji..

Unaweza ukaanza biashara bila mtaji..

Joined
Jan 7, 2014
Posts
22
Reaction score
2
Wana JF naombeni mchango wenu juu ya hili swala,kuhusu biashara yoyote ambayo naweza nikaianzisha bila mtaji.
..
 
Kama una taaluma tumia biashara ya taaluma mf. Consultancy au kufundisha nk.
Kama huna taaluma uza nguvu zako kwenye kazi.
 
Walimu wote wangekuwa hi yo sizani kama tungefahulu,,japo ni wakali wanatia lugha nzuri kwa wanafunzi wao...
 
Kama unaujuzi wa fani itoayo huduma m.f ufundi umeme, ushauri wa kifani etc, biashara za huduma zinahitaji mtaji mdogo sana, ila hamna biashara isiyohitaji mtaji kabisa.

Kama upo town kitambo blahblah unaweza nunua vocha ya 5000 tafuta wateja wa mazao, uwe Dalali, si unajua wakulima tupo wengi na kila siku twaja town.
Ukiwa dalali mwaminifu nitakuletea mahindi nikivuna, yule dalali wa awali anazeveza sana.
 
Wana JF naombeni mchango wenu juu ya hili swala,kuhusu biashara yoyote ambayo naweza nikaianzisha bila mtaji.
..

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Tafuta gunia ingia mtaani, zoa taka taka kwa sh 500 kila nyumba utazimake tu kama unataka biashara bila mtaji. Mtaji ukikuwa nunua torori then ongeza bei ya huduma.
 
Anza udalali wa nyumba zinazouzwa, viwanja especially nje kabisa ya jiji tatizo hukujieleza kama una usafiri au nao ni tatizo, pia unaweza vaa suti na mkoba au briefcase nenda bandarini kajifunze kazi huko wapo wanaoondoka na $ 500 a day kwa udalali wakijifanya wana malori kubeba containers
 
Hata ukijiunga forever lazima uwe na mtaji,... huyu jamaa sijui kama yupo vizuri ..,.. may be is an empty mind ''TABULARASA PERSON''
 
Hata ukijiunga forever lazima uwe na mtaji,... huyu jamaa sijui kama yupo vizuri ..,.. may be is an empty mind ''TABULARASA PERSON''

Nafikiri wewe ndo uko empty mind my frend. Jamaa kaomba ushauri kama huna cha kuchangia nyamaza. Unaonekana ni miongoni wanaofikiria kwa kutumia ma------
 
Back
Top Bottom