Unaweza ukahisi industry inayoendesha uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mpira, comedy na muziki

Unaweza ukahisi industry inayoendesha uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mpira, comedy na muziki

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa tumechezea majanga ya asili ya kutosha.

Sijasikia wabunifu wa sayansi na teknolojia kuitwa ikulu au kwenye hafla kuonyesha vipaji vyao yaani viongozi Wana beng sana na wasanii kiasi kwamba inafanya wasomi nao watamani tu kuwa content creators maana wanaona ndo njia ya kupiga hela ya uhakika huku at the same time unakula na Bata.

Uwe hata mdudu au uwe hata chawa kuliko kuwa mbunifu wa injini mbalimbali maana utapoteza sana muda na ni kama unabet unaweza kufanikiwa au usifanikiwe kwenye sayansi ila usanii ukishikwa tu mkono hela yake chap unaipata unatoka.
 
Hili Nyerere alishalitabiri

Nchi inaendeshwa na uchumi wa machinga na mama nitilie 🐼
 
What happens pale wizara criticals, viwanda ,biashara, uwekezaji ziko political driven. Even uchumi
And then una wonder why dollar inapanda
 
Back
Top Bottom