Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni mimba mkuu
Kanunue nepi usikwepe majukumu
Dalili zote za period anazo lakini. Maziwa kumuuma , kiuno, na tumbo
Kama unawasiwasi mpeleke hospital kampime.
UTI labda au period ndo inamfanya hivyo. Nunua Pregnancy test pharmacy huna haja ya kwenda clinic.
Dalili zote za period anazo lakini. Maziwa kumuuma , kiuno, na tumbo
Kwa symptoms hizi take her to the hospital haraka iwezekanvyo asinywe dawa yeyote.. Thanks..
Hospital hataki kwenda
Hospital hataki kwenda
Km ni kweli wahi hosp. Ni htr (wanaita mimba kupungua) km hataki kwenda hosp ni muongo. Kuwa makini sana
Kiini macho hicho
Asante kwa ushauri, mimba kupungua unamaanisha nini mamitod?
Kupata hedhi wakati una mimba (mimba kupungua) ni hatari. Una maana mimba haikui ipasavyo kuna upungufu wa virutubisho vingi muhimu au matatizo mengine ambayo mama hupewa mapumzuko kadiri dr. atakavyoona. Asifanye kaxi yo yote au alazwe kwa miezi yite tisa. Hupelekea mimba kuharibika au kuzaa njiti au kuzaa mtoto kabla ya muda wake. Km ni kweli muwahishe akikataa ni muongo hui ni mchezo wa vitoto vya siku hizi. Pole