Unaweza ukawa na mimba huku unapata siku zako?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Habari wadau naomba mnijuze,

Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi?

Au changa la macho?
 
Hata miezi miwili wengine huona siku zao. Hivi hizo week 3 umetumia pregnacy test au?
 
UTI labda au period ndo inamfanya hivyo. Nunua Pregnancy test pharmacy huna haja ya kwenda clinic.
 
Km ni kweli wahi hosp. Ni htr (wanaita mimba kupungua) km hataki kwenda hosp ni muongo. Kuwa makini sana
 
Asante kwa ushauri, mimba kupungua unamaanisha nini mamitod?
 
Kupata hedhi wakati una mimba (mimba kupungua) ni hatari. Una maana mimba haikui ipasavyo kuna upungufu wa virutubisho vingi muhimu au matatizo mengine ambayo mama hupewa mapumzuko kadiri dr. atakavyoona. Asifanye kaxi yo yote au alazwe kwa miezi yite tisa. Hupelekea mimba kuharibika au kuzaa njiti au kuzaa mtoto kabla ya muda wake. Km ni kweli muwahishe akikataa ni muongo hui ni mchezo wa vitoto vya siku hizi. Pole
 
wengine huona siku zao mpaka miezi mitano...japo pia si dalili nzuri mwone daktari
 
Kupata hedhi wakati una mimba (mimba kupungua) ni hatari. Una maana mimba haikui ipasavyo kuna upungufu wa virutubisho vingi muhimu au matatizo mengine ambayo mama hupewa mapumzuko kadiri dr. atakavyoona. Asifanye kaxi yo yote au alazwe kwa miezi yite tisa. Hupelekea mimba kuharibika au kuzaa njiti au kuzaa mtoto kabla ya muda wake. Km ni kweli muwahishe akikataa ni muongo hui ni mchezo wa vitoto vya siku hizi. Pole

Nimekupata nsdhukuru saana
 
Asanteni kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom