Unaweza usinielewe, lakini Ruge wa Clouds na Yusuph Manji, vifo vyao vina mkono wa mtu

Unaweza usinielewe, lakini Ruge wa Clouds na Yusuph Manji, vifo vyao vina mkono wa mtu

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Unaweza usinielewe kamwe wewe unayesoma hapa, ILA kiukweli vifo vya hao ndugu nilio wataja vilichagizwa na Nafasi za utawala alizo kuwa nazo Paulo chiristiani Bashite Makonda.

Yawezekana unielewi ILA YUSUPH MANJI angekuwa hai Leo hii Makonda hasingekuwa salama kamwe.

Alimsingizia kesi ya kutumia madawa ya kulevya muhindi wa watu akawekwa gezereni baadae Makonda na baba yake Magufuli walimfilisi mali zake, jamaa akaomba uraia wa marekani alipitoka gerezani alikokuwa anakaa kwa kusingiziwa, akakimbilia marekani hatima yake alikufa kwa stress na kuzikwa amesimama uko Marekani(Sina hakika ILA naisi walimchoma moto wakazika majivu).

Kifo cha RUGE mutahaba kilichagizwa na utawala wa Makonda baada ya kutaka kumpa kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya RUGE kwa kuvamia studio za Clouds akiwa na madawa alidhania atamkuta RUGE ndani ya OFISI ili amrushie zigo la madawa ya kulevya na kumpa kesi nzito.

Mungu saidia RUGE mutahaba aliwai sema ogopa mzungu,Mungu na technolojia jamaa lilipovamia na genge lake la majambazi wakiwa na madawa walidhania hatutajua wannanchi

Walipomkosa ofisini wakaishia kuwatishia maisha watangazaji wa clouds kipindi cha SHIRAWADU kwa kuwapa flash YA VIDEO YA NGONO ZA KUTENGEZA YA MCHUNGAJI GWAJIMA iliyokuwa imetengenezwa kwa lengo la kUMCHAFUA. Ile vita nayo Gwaji aliishinda hakika ili ni jabali la Mbinguni.

RUGE Mutahaba aliwasihii wale vijana wasirushe video Ile na ikumbukwe Ile video ilisukwa na Makonda na wahuni wenzake, na magufuli ili wamchafue gwajima hapa mpo mtakao nipinga yakuwa magufuli hakuusika ukweli hakuusika ILA aliusika kutoa kikundi cha majingiri polisi kumsindikiza Makonda katika msakon wa madawa ya kulevya. Mbwa wale ingekuwa Leo hii Mimi ningewachoma moto.

Baada ya sekeseke la Makonda kwa RUGE mutahaba Hali ya kiafya ya Ruge ilianza kuteteleka sana na hatima yake alikufa.

Nikimwona Mkurugenzi wa clouds anamkumbatia Makonda huwa nashikwa na hasira mbaya sana na hata kuyumba yumba kwa clouds Leo hii Makonda anamchango mkubwa sana.

Ikumbukwe hata Ile fukuza fukuza staff wa clouds waliokuwa wazoefu wakina masuod kipanya na sizya lakini pia wanna vipaji vikubwa na elimu wanazo ILA sio za uhandishi wa habari kupitia sjui upuuzi wa idhibati Makonda ndo mpiganiaji mkuu,
Hatima yake clouds imebakia paspo kuwa na wanahabari critical thinker wamebakia vihiyoo wanao jua kuhoji ilikuwaje mwanamke mmoja abakwe na vidume 9 na hasife?

Mode najua unamwogopa Makonda kisa ni waziri wa habari Uzi huu uache.
 
Makonda mbona ni mtu anahusishwa sana na mipango mibaya ya VIFO au VIFO VYENYEWE na bado anapewa nafasi katika uongozi? Jee ni ufanisi wake wa kazi chafu au kuogopwa kwa kujua siri chafu za watawala?

Ile taarifa ya Lissu kuwa alihusika na kupanga jaribio la kumuua ilitosha State kuanzishia uchunguzi lakini ni kama hakuna jambo wakati nitukio lililo chafua taswira ya nchi? Hivi ukiingia utawala mbadala na CCM akilundikiwa mashtaka tutasema wanachuki na visasi?
 
Makonda-Bashite njaa ya uongozi aliyonayo na anavyoamini katika dirty politics obviously yuko tayari kuua mtu yoyote atakayemuhisi ni kikwazo kwake katika harakati za kuusaka unyapara mkuu.
 
Ikumbukwe hata Ile fukuza fukuza staff wa clouds waliokuwa wazoefu wakina masuod kipanya na sizya lakini pia wanna vipaji vikubwa na elimu wanazo ILA sio za uhandishi wa habari kupitia sjui upuuzi wa idhibati Makonda ndo mpiganiaji mkuu,
Hapa ni ITHIBATI hata Masoud alikiri kilichomuondoa CLOUDS ni JAB(Ithibati).
 
Baada ya ruge kufariki pia efraim kibonde nae akafuatia yaani vifo vyao ni kitendawili.
Ni kweli vifo vyao ni kitendawili kwa macho ya dunia hii ila kwa tuliojaaliwa macho ya rohoni tunazijua sababu, kifo cha Ruge, ni depression ya matters of the heart Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Kifo cha Ephraim ni aliitikia wito, a call from the dead!, akaitika, akawafuata!. Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

P
 
Uko biases sana mleta maada, Ile video ya Gwajima ni yeye kabisa alikua anapiga show.

Kusema Makonda ndo alitengeneza, Inaonesha hoja yako imeelea upande mmoja, 🚮
Ni video 2 tofauti unaongelea kijana.
 
Back
Top Bottom