Unaweza vipi kuishi sehemu ambayo wenyeji wanawapiga vita wageni?

ngomax

Member
Joined
Jun 12, 2026
Posts
37
Reaction score
56
Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa

Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka support baadhi ya vitu unajua ngumu na unaangaliwa kwa jicho la husuda na wapo wanao kuunga mkono lakini unafiki mwingi wanasubiri ushindwe tu ndio utabili wao , wanaona na songa mbele wanajivuta, swali? Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?

1782032778624.png
 
Fanya kazi but hide ur achievement

Jamii nyingi za nchi za kibantu ni Masikini sana , kwahiyo sio kuwa wanakushambuliwa wewe ambaye ni mgeni NO wao wanamshambulia MTU yeyote anayejaribu kuinuka

Act like ur broke , you will match their mindset in outside.
 
Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa

Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka support baadhi ya vitu unajua ngumu na unaangaliwa kwa jicho la husuda na wapo wanao kuunga mkono lakini unafiki mwingi wanasubiri ushindwe tu ndio utabili wao , wanaona na songa mbele wanajivuta, swali? Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?

Principle no.1: Fanya mambo yako na chukulia kama binadamu wote ni wema hawana husuda wala wivu utaenjoy sana
 
Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa

Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka support baadhi ya vitu unajua ngumu na unaangaliwa kwa jicho la husuda na wapo wanao kuunga mkono lakini unafiki mwingi wanasubiri ushindwe tu ndio utabili wao , wanaona na songa mbele wanajivuta, swali? Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?

Upo Bukoba nini?
 
Kama upo mikoa ya pwani hasa kusini, ni kawaida.

1:- Lenga lengo lako kuu Kwa sababu upo ugenini ata wakikucheka hautapungukiwa kitu.

2:- Jichanganye nao Kwa machale mno la sivyo utajikuta baada ya miaka mitano ni mmoja wao.

3:- Kama ulifika ukafanya makosa ya kujionesha basi siyo kosa wape offer Kwa mbali haswa wazee wa kaya na baada ya muda na wewe Anza kulia njaa (Kwa muonekano not reality).

4:- Chunguza tabia zao, kama hawana elimu (ya darasani siyo kipaumbele) jifanye wewe ni mbumbumbu haswa, kama wapenda dini mno jichenge usitabirike hapo, maana watakupima hapo.

5:- Tafuta wapendwa wao, (matajiri wa mtaa) wawe company Yako... 🏃🏃
 
Back
Top Bottom