Unalima nini hapo?Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?
MaharageUnalima nini hapo?
Principle no.1: Fanya mambo yako na chukulia kama binadamu wote ni wema hawana husuda wala wivu utaenjoy sanaHabari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa
Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka support baadhi ya vitu unajua ngumu na unaangaliwa kwa jicho la husuda na wapo wanao kuunga mkono lakini unafiki mwingi wanasubiri ushindwe tu ndio utabili wao , wanaona na songa mbele wanajivuta, swali? Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?
Upo Bukoba nini?Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu nikikwazo kikubwa
Wanaamini mgeni kaja kuleta ushindani na tamaduni zingine, na hata ukitaka support baadhi ya vitu unajua ngumu na unaangaliwa kwa jicho la husuda na wapo wanao kuunga mkono lakini unafiki mwingi wanasubiri ushindwe tu ndio utabili wao , wanaona na songa mbele wanajivuta, swali? Langu uliwezaje kuishi ugenini na wenyeji ambao awataki wageni kwenye mji wao?
Upo sahihi kabisaUkiona watu wana roho mbaya roho za kwanini na ubaguzi wa uzawa elewa yapo mambo 3, moja ni ukosefu wa elimu,
2. wakazi wa hapo ni wachawi
3. umasikini uliopitiliza