Unawezaje kufurahia watu kutekwa ,mauaji, watu kupotezwa?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili.

Suala la October 29 vijana walipoteza maisha na hawawezi kurudi waliokufa. Lakini utashangaa li mtu linafananisha vitu kama kuchoma vituo vya mafuta na uhai wa watu. Tuseme aya watu walichoma vituo vya mafuta watu wakapata hasara leo mafuta yamepanda bei watu wamesharudisha hasara walizopata vipi uhai wa watu umerudi vitu vinafafutwa lakini huwezi kutafuta uhai ukishaupoteza.

Watu humu walifurahia mauji ya Mzee Kibao , Polepole , Mdude kweli binadamu wa kawaida hawezi kufurahia mauaji wakati nae anajua njia ni moja ya wote tutakufa. Mimi naweza kusema JF kuna wagonjwa wengi sana wa afya ya akili. Watu wanafurahia mateso ya watu wakijua labda yanaweza kuwapuguzia ugumu wa maisha unakuta mtu anachukua mda kuandika Lissu akae jela unajiuliza Lissu kukaa jela wewe kunakupuguzia vipi ugumu wako wa maisha?

Kwamba Lissu akikaa jela ndo atasandia kupunguza Mfumko wa bei ya vitu kwa sasa? Itasandia mafuta kushuka bei au Wakulima kupata pembejeo au maji safi na salama mwanza hapo kuna ziwa lakini watu wa buguku tu hawana maji dodoma tu makao makuu sehemu kama Nkuhungu maji shida unajiuliza maswali kwamba Lissu kukaa jela ndo kutasandia kutatua matatizo ya msingi katika nchi? Kufurahia mauji ya watu hakuwezi kupunguza ukali wako wa maisha.
 
Unamaanisha yupi sasa? Traatraa?,magonjwa ya kutambuka na wenzao akina mashambwa
 
ni ajabu na kweli chama cha siasa na wafuasi wake, wanaitisha na mkutano kabisa wa kufurahia na kugonga cheers eti kusherehekea mwanadamu mwenzao kaaga dunia.
Na humu jukwaani wanapongezana kwa nguvu mno na kufurahi sana. Inasikitisha sana, na inafedhehesha sana kwakweli.

Ila,
huenda ndio imani yao ya kishirikina ilivyo kwenye kuabudi 🐒
 
Binadamu tukiwa ktk hali ya afya njema tunajisahau sana (mbwembwe) zinakuwa nyingiii tunasahau kuwa hatutaishi milele
 
Kuna watu humu JF wana matatizo ya afya ya akili kabisa unakuta mtu anafurahia au kulinganisha Uhai wa binadamu na vitu unakuta mtu anafurahia mauaji, watu kutekwa kupotezwa huyu hawezi kua binadamu wa kawaida lazima ana matatizo ya Afya ya akili.

Suala la October 29 vijana walipoteza maisha na hawawezi kurudi waliokufa. Lakini utashangaa li mtu linafananisha vitu kama kuchoma vituo vya mafuta na uhai wa watu. Tuseme aya watu walichoma vituo vya mafuta watu wakapata hasara leo mafuta yamepanda bei watu wamesharudisha hasara walizopata vipi uhai wa watu umerudi vitu vinafafutwa lakini huwezi kutafuta uhai ukishaupoteza.

Watu humu walifurahia mauji ya Mzee Kibao , Polepole , Mdude kweli binadamu wa kawaida hawezi kufurahia mauaji wakati nae anajua njia ni moja ya wote tutakufa. Mimi naweza kusema JF kuna wagonjwa wengi sana wa afya ya akili. Watu wanafurahia mateso ya watu wakijua labda yanaweza kuwapuguzia ugumu wa maisha unakuta mtu anachukua mda kuandika Lissu akae jela unajiuliza Lissu kukaa jela wewe kunakupuguzia vipi ugumu wako wa maisha?

Kwamba Lissu akikaa jela ndo atasandia kupunguza Mfumko wa bei ya vitu kwa sasa? Itasandia mafuta kushuka bei au Wakulima kupata pembejeo au maji safi na salama mwanza hapo kuna ziwa lakini watu wa buguku tu hawana maji dodoma tu makao makuu sehemu kama Nkuhungu maji shida unajiuliza maswali kwamba Lissu kukaa jela ndo kutasandia kutatua matatizo ya msingi katika nchi? Kufurahia mauji ya watu hakuwezi kupunguza ukali wako wa maisha.
Stuxnet
 
Nimekaa miaka 30 kutengeneza mtaji, wanakuja hao mahayawani wanachoma biashara yangu. Hao wana faida gani kuishi??

Mtu anakuambia atakinukisha ili uchaguzi usifanyike, huyu naye mahali pake ni kabatini tu huko Ukonga
 
Back
Top Bottom