Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.

Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi.

Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.

Pumbavu, tabia chafu sana hii
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.
Nipo kitandani naperuzi jamii forum yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi ,shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu ..inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.
Pumbavu,tabia chafu sana hii
ukiliambia linacheka,hii peke yake inatosha kueleza kuwa kuna shida miongoni mwenu.ama kuhusu kujamba,ni suala la kuongea,akicheka pengine hajakuelewa mwambie bby plz sipendi ujambe tukiwa wote,atakuelewa
 
Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya.
Nipo kitandani naperuzi jamii forum yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi ,shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu ..inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu.
Pumbavu,tabia chafu sana hii
Bro naona umechukia sana.

Harufu ya shuzi si mchezo.
 
Back
Top Bottom