Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake, huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyosajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili.
- Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya, maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
- Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo, kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.