Unawezaje kukiita chama kilichosajiliwa kihalali kama chama fake?

Vyama vunavyoshiriki maigizo ya uchaguzi ni wapumbavu wote na baada ya hapo vinapongeza uchaguzi halafu vinaitwa kwenye maridhiano hao ni washenzi.
Ungelisoma nilichoandika ungelielewa. Chama ambacho hakishiriki Uchaguzi Mkuu hicho ni kikundi cha kusaidiana kwenye kuzikana. Sio chama cha siasa. Kama huelewi hilo, hiyo sio shida yangu.
 
Romans once said, “non omne quod licet honestum est” (i.e., not everything that is lawful is honorable)!
Huu msemo obviously umepitwa na wakati!,japo ni wa kirumi,lugha inayo heshimiwa sana!,na maneno yake ni kama uchawi fulani...
 
Busara za wahenga wa Kirumi ni timeless. Real-life scenarios where an action is legally permitted (licitum) but morally questionable (honestum) aren’t in short supply on earth!
 
Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.

Fungua wewe hiyo kesi maana hata wenyewe wanaoitwa fake hawa time.
 
Vyama vya kwenye briefcase, huwa tunavisikia kwenye kutoa matamko tuu tena sana sana yanayoonekana kuwa against na chadema!.
Huwa viko kwenye payroll ya ccm!
 
Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
hata wewe ni fake. wapo watu waliozaliwa na ni feki.

ungekuwa sio fake usingejidai hujui hayo unayoyasema
 
1000008893.png
 
Back
Top Bottom