Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kwenye kudhihirisha jambo,halali na batili,hatutumii neno Historia!....Uhalali haujiweki kwa usajili pekee.Hiyo ofisi na msajili mwenyewe ni wasafi?Ndugu zetu wakristu wanasema "si kila atajae jina langu(Kristu) ni mwenzetu"!Matendo halisi na historia inahukumu mnoo kuliko kujilizaliza.
Asiyetaka historia(asili yake)huyo ni mpambaff.Aendelee kukaa ndani kama kikojozi.Kwenye kudhihirisha jambo,halali na batili,hatutumii neno Historia!....
-Sukuma ndani....
in fact,Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Rungwe ni orijinale ila Yeriko mabamia na maharamia wenzake ni fake hadi keshokutwa asubuhi.Chama kinaweza kuwa og ila wanachama wakawa fake
sijui kama umenielewa!
Unakisia au unathibitisha?,hakuna kitu matendo yao yanaonyesha @#$&$#@...... katika mashauri ya mahakama,mahakamani kuna Thibitisha!Matendo yao yanaonesha ni vyama feki, unabisha nini wakati kuna vyama feki?
You just dream!...CHADEMA ndiyo chama siasa za upinzani wa kweli, kinajenga hoja mpaka kinaonekana ni cha upinzani. Hoja zake zina logic na ni potential kwa taifa
How?,mwanachama anatakiwa aweje ili awe siyo fake?Chama kinaweza kuwa og ila wanachama wakawa fake
sijui kama umenielewa!
Kama hakishiriki Uchaguzi Mkuu hicho ni fake! Period!!!Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Yes ni vyama feki.Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Fake Kwa Maana vina mlengo wa mbogamboga!1:Kuunga mkono Kila kituNapita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Romans once said, “non omne quod licet honestum est” (i.e., not everything that is lawful is honorable)!Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Sahihi!Romans once said, “non omne quod licet honestum est” (i.e., not everything that is lawful is honorable)!
Waanze na Wasira kila mara anasema Chadema imekufa,Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake,huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyo sajiliwa ya kuwa ni fake je hii siyo jinai?,maana unatuhumu kitu halali kilichosajiliwa kihalali kwa sheria na kanuni zote stahili,
-Ni wakati sasa wa kutokuvumilia mambo haya,maana yanazidi kuupotosha umma wa watanzania!.....
-Ipo haja kesi mahususi kufunguliwa kukabiliana na wale wote ambao wamekuwa wakituhumu vyombo ambavyo,kwa haki na kwa taratibu ni vimesajiliwa kihalali.
Vyama vunavyoshiriki maigizo ya uchaguzi ni wapumbavu wote na baada ya hapo vinapongeza uchaguzi halafu vinaitwa kwenye maridhiano hao ni washenzi.Kama hakishiriki Uchaguzi Mkuu hicho ni fake! Period!!!