Unawezaje kukiita chama kilichosajiliwa kihalali kama chama fake?

Vyama vunavyoshiriki maigizo ya uchaguzi ni wapumbavu wote na baada ya hapo vinapongeza uchaguzi halafu vinaitwa kwenye maridhiano hao ni washenzi.
Ungelisoma nilichoandika ungelielewa. Chama ambacho hakishiriki Uchaguzi Mkuu hicho ni kikundi cha kusaidiana kwenye kuzikana. Sio chama cha siasa. Kama huelewi hilo, hiyo sio shida yangu.
 
Romans once said, “non omne quod licet honestum est” (i.e., not everything that is lawful is honorable)!
Huu msemo obviously umepitwa na wakati!,japo ni wa kirumi,lugha inayo heshimiwa sana!,na maneno yake ni kama uchawi fulani...
 
Huu msemo obviously umepitwa na wakati!,japo ni wa kirumi,lugha inayo heshimiwa sana!,na maneno yake ni kama uchawi fulani...
Busara za wahenga wa Kirumi ni timeless. Real-life scenarios where an action is legally permitted (licitum) but morally questionable (honestum) aren’t in short supply on earth!
 

Fungua wewe hiyo kesi maana hata wenyewe wanaoitwa fake hawa time.
 
Vyama vya kwenye briefcase, huwa tunavisikia kwenye kutoa matamko tuu tena sana sana yanayoonekana kuwa against na chadema!.
Huwa viko kwenye payroll ya ccm!
 
hata wewe ni fake. wapo watu waliozaliwa na ni feki.

ungekuwa sio fake usingejidai hujui hayo unayoyasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…