Na unajisifia kabisa huoni hta aibu
Ndo ivo unaeza ukajiona mjanja ukamwacha Alie kumbe mtoto anaumwa au kina kitu hakipo saw ndo mana analia mwishowe uje kumpoteza mtoto kisa uzembe na ujinga tu,[emoji35]Hivi unaanzaje kumpuuzia mtoto akiwa analia??? Kuna muda analia kwa uchungu mpk wewe mtu mzima unahisi maumivu rohoni
Tabia za mtoto zinasomeka,kuna kulia kwa kuumwa na kulia kwa kutaka attention tu,analia akisikia umefungua mlango anapunguza kilio taratibu ananyamaza,ukirudi zako kulala analia ni ugonjwa gani huo?Wakati mwingine unakuta mtoto anaumwe. Usiwe unampuuzia
Sijajisifia bali ndivyo nilivyolea wanangu.Kama nimekosea nenda ustawi wa jamii kanishitaki.Na unajisifia kabisa huoni hta aibu
Kuna watu wa roho ngumu sana aiseeHivi unaanzaje kumpuuzia mtoto akiwa analia??? Kuna muda analia kwa uchungu mpk wewe mtu mzima unahisi maumivu rohoni
Hii mbinu angalau itasaidia.Wanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake
Kumbe mtoto ni msala...π³Wanaume mbinu tunatoa wapi? We Ukikuta kalala mchana muamshe msumbue sana yaan jion ikiwezekana toka nae zunguka nae mtaa kwa mtaa hakikisha halali kabla ya saa 5 ukimlaza hapo anakua hoi akishtuka kumekucha unamuachia msala mama yake
Kwa mtazamo angu mimi, kosa la kwanza ni kuoa mke anae fanya kazi night shift.Habari...
Wale mlio oa wanawake wanao fanya kazi za shift za usiku tuambieni mnawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka asubuhi mama yake anapo kua katika shift ya usiku kazini kwa kuzingatia mtoto wako ni yule anayelia sana nyakati za usiku?
Nawasilisha..
Katika hatua za ukuaji, kila mtoto wa umri flani anatakiwa ale chakula kwa kipimo cha milligrams kahdaa.Na utajuaje kama mtoto ameshiba?
Sio kweli mkuu, sema wanaume tumekaririshwa kwamba kazi ya malezi ni yamama pekee.Hiyo kazi ni ngumu kwa mwanaume
Itoshe tu kusema kwamba... unajua kuzaa lakini haujui kulea...πMzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
ππ Daaah nimeamin wanaume siyo walezi,na sio wa kumwachia mtoto.Mzoeshe kulala kwenye chumba peke yake,akizidi kulialia sana mpuuzie atanyamaza.Ikishindikana kabisa tengeneza mazingira awe anamlilia mama yake wewe deal na mambo mengine.Wangu alikuwa analia usiku kelele kama AKA47 nabembeleza ananyamaza,nikirudi kulala analianzisha nikaamua kuwa nampuuzia tu akaacha.
........umeona eenh, Kwa mujibu wa komenti sisi wanaume wengi sio wa wakutuachia watoto wadogo, π kuna mwamba anasema mtoto asumbuliwe tu hadi saa Tano usiku ili alale hoi, mwingine anadai mtoto akilia achana nae fanya mambo yako, so finally mwingine atasema akilia usiku kata makofi!!......ππ Daaah nimeamin wanaume siyo walezi,na sio wa kumwachia mtoto.
Kuna uncle wangu nilikua namuona ni bingwa wa kulea ila nae alisanda beki tatu wake alivosepa.........umeona eenh, Kwa mujibu wa komenti sisi wanaume wengi sio wa wakutuachia watoto wadogo, π kuna mwamba anasema mtoto asumbuliwe tu hadi saa Tano usiku ili alale hoi, mwingine anadai mtoto akilia achana nae fanya mambo yako, so finally mwingine atasema akilia usiku kata makofi!!......
Ningekuwa sijui kulea Serikali ingeninyanganya watoto.Itoshe tu kusema kwamba... unajua kuzaa lakini haujui kulea...π
Na inahitaji moyoHiyo kazi ni ngumu kwa mwanaume
Tatizo mnaongozwa na hisia ni kama mtoto kulia ni kitu cha ajabu sana.Mtoto anatakiwa awe na kitanda chake azoeee hata alie azoee kitanda au chumba chake,akizoea mikono sana au attention ni vigumu sana hata kwa msichana wa kazi kudeal naye.ππ Daaah nimeamin wanaume siyo walezi,na sio wa kumwachia mtoto.
Yn acha tuKuna watu wa roho ngumu sana aisee
Very trueSio kweli mkuu, sema wanaume tumekaririshwa kwamba kazi ya malezi ni yamama pekee.
If you're really responsible father, malezi ni kawaida sana