Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo jambo nimetoka luliwaza sasa hvi yani ni heri kunua assets tu ambazo zinapanda bei kwa kasiEti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
Buy GoldEti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
Kufunguaa account ya hizo pesa? Maana ukiweka home utakosa raha ya life.Kuweka £ au $ kwenye kibubu ni msaada mkubwa sana.
Kuna benki zinaweza kukuuzia na kukutunzia gold? Zamani NBC walianza kununua gold. Mafisadi wakanunua magold fake ya kumwaga.Buy Gold
Wakati wa Maliemu wenye hizo accounts waliitwa wahujumu uchumi.Kufunguaa account ya hizo pesa? Maana ukiweka home utakosa raha ya life.
Nimejifunza kitu...hebu tuchonge kibubu cha fixed pale crdb au ABSAKuweka £ au $ kwenye kibubu ni msaada mkubwa sana.
Hakika...Kuweka £ au $ kwenye kibubu ni msaada mkubwa sana.
Uko kama mm.Wale ombaomba wote nimewapiga Ban,Wameanza kunichukia ila poa tu watanielewa huko mbeleni.
😂😂😂😂My wangu ngoja tukiuza kile kisamvu chetu tutaweka kwenye £😁😁😁
Kuhedge ndio kufanyeje?njia ziko nyingi ila za miaka yote huwa ni kununua ardhi,dhahabu nk lakini kwa sasa ziko njia nyingi sana ikiwemo kununua stocks,bonds,kuhedge nk kwani mkuu una pesa mingi sana ama ni hivi vi 5000 vyetu
Wataelewa tu Mdogomdogo,Ila hao wanaokudai walipe bro. Sio poa.Uko kama mm.
Nmelima block vyanzo vyote vya kupoteza pesa ikiwepo list la watu wanaonidai na wanaotaka niwasaidie ilihali mambo hayako sawa..watuvumilie kwa muda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]