Unawezaje kulinda pesa zako dhidi ya mfumuko wa bei?

Unawezaje kulinda pesa zako dhidi ya mfumuko wa bei?

Eti wataalamu unawezaje kufanya hivyo? Maana kama una ukiba halafu ikatokea inflation labda ya 10%, basi asilimia kumi ya ukwasi wako inapotea. Mtu anawezaje kujilinda?
1.Nunua government bonds.
2.Nunua hati fungani,vipande vya U.T.T
3.Nunua madini,gold,diamonds.
4.Nunua U.S stocks.
5.Nunua cryptocurrencies zenye market cap kubwa,kama Bitcoin,Etherium,Ripple,Cardano,Terra etc
6.Nunua Ardhi
 
Vipande vya UTT, ni kwa TZS au hata foreign currency
 
Inawezekana ushauri unatolewa kwa mtu mwenye hizi pesa zetu 20000/= Ni vema angesema ana sh ngapi ashauriwe kulingana na kiasi alichonacho.Lakini ushauri mnaoutoa hapa ni sawa na kuzungumza mwenyewe huku kinywa kikiwa kwenye mtungi.
 
kabisa wanakomaa kumshauri kumbe mwamba mfukon ana laki 2 tu
 
Back
Top Bottom